Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 29, 2012

MTANGAZAJI WA REDIO BOMBA FM MBEYA CLEMENCE MPEPO AFARIKI DUNIA


TANGAZO: KWA MASIKITIKO MAKUBWA UONGOZI WA REDIO BOMBA FM, UNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI MWENZAO CLEMENCE MPEPO "MZEE WA MAKABILA" ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. KWA TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA JUU YA UTARATIBU WA MAZISHI NA PIA ENDELEA KUSIKILIZA REDIO BOMBA FM

UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUN BARABARA YA LAMI KUJENGWA KUKALABATIWA KWA KIFUSI CHA VUMBI


BARABARA LAMI ITOKAYO META KWENDA STENDI KUU YA MABASI JIJINI MBEYA  YAENDELEAKUZIBWA VILAKA KWA KIFUSI CHA VUMBI
ILI KUIPA UIMARA INAMWAGILIWA NA MAJI KAMA ALIVYOKUTWA MAMA HUYU NA MPIGA PICHA WETU
WAKATI HUOHUO MAGARI MAKUBWA YANAPITA NA KUVUMUA VILAKA HIVYO VYA VUMBI

Monday, November 26, 2012

LOWASA SI TAJIRI WA FEDHA BALI WATU


WAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa, amesema kuwa hana utajiri wa fedha bali wa watu.

Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, alisema hayo jana katika Kanisa la Moravian Tanzania Usharika wa Ruanda, wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa hosteli ya wanachuo wa kike wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji mkoani Mbeya.

Ambapo yeye alichangia shlilingi milioni ishilini na tano pia zaidi ya shilingi milioni hamsini zilipatikana katika changizo hilo

             LOWASA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE ULIOPO MWNJELWA JIJINI MBEYA
 BABA ASKOFU WA KAINASA LA MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI ALINIKISA CHEYO AKISALIMIANA NA LOWASA MARA BAADA YA KUFIKA UWAJANI
VINGOZI WA KANISA PAMOJIA NA SERIKALI WAKIMPOKEA WAZIRI MSTAAFU LOWASA MARA BAADA YA KUWASILI UWANJANI HAPO
KWAYA YA VIJANA MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR WAKIMSUBIRI MGENI RASMI LOWASA KATIKA UWANJA WA NDEGE MWANJELWA
KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHISPIN MEELA NA LOWASA WAKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA OFISI ZA MCHUNGAJI KATIKA KANISA LA MORAVIANI RWANDA
KULIA NI ASKOFU ALINIKISA CHEYO AKIWAPA KITABU CHA KUSAINI WAGENI OFISINI KWA MCHUNAJI WA USHIRIKA WA RWANDA
PARADISE KWAYA WAKIIMBA WIMBO KUMKARIBISHA LOWASA

KWAYA YA VIJANA NZOVWE OKULI KWAYA WAKIIMABA KATIKA IBAADA YA UCHANGIAJI WA OSTELI
LOWASA AKIMWAMBIA KITU MC CHARLEA MWAKIPESILE KWABRA YA KUWAHUTUBIA WAUMINI KATIKA IBAADA PALE RWANDA
                 BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WALOFIKA KUMSIKILIZA LOWASA
LOWASA AKIWAHUTUBIA WAUMINI KATIKA KANASA LA MORAVIANI RWANDA
                         LOWASA AKIOSALIMIANA NA WATU WA JAMII YA KWAO
 VIONGIOZI WAKIMSINDIKIZA LOWASA ALIPOKUWA AKIONDOKA MARA BAADA YA KUMALIZA IBAADA YA UCHANGIAJI
LOWASA AKIMPONGEZA MC CHARLES MWAKIPESILE KWA KUENDESHA SHUGHURI VIZURI HIYO HARAMBEE YA UCHANGIAJI WA HOSTEL

Friday, November 23, 2012

TANZANIA NCHI ILIYOBARIKIWA YENYE ASALI NAYO MAZIWA KAMA EDENI YA MUNGU

                              WA MAMA WAJAWAZITO WAKISUBIRIA KUJIFUNGUA


Nahii ndiyo nchi yenye asali nayo maziwa kama vile migodi ya madini dhahabu mengene yasiyopatikana duniani kote makaa ya mawe, ges, bandali, mbuga za wanyama na mengine unayoyafahamu wewe lakini hii ndiyo hali ya wananchi wake

Thursday, November 22, 2012

UKRISTO NA NDOA ZETU

MWIMBAJI MAARUFU NCHINI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI BUKUKU ADAI TARAKA KWA MUMEWE

WAVAMIZI WA MACHIMBO YA KOKOTO UYOLE YATISHIA USALAMA WA MAISHA YAO


Baadhi ya vijana wanao chimba kokoto maeneo ya Uyole jijini mbeya kwa kutumia zana zisozo rasmi kwa kazi hiyo wapo hatarini kuhatalisha maisha yao ya kuangukiwa na vifusi vya mawe.

Kwamjibu wa uchunguzi ulio fanywa na mwandishi wa blog hii umebaini kuwa, wachimbaji hao wanatumia njia ya kuchoma moto mataili ya magari kwa ajili ya kuyalainisha mawe  hayo ili kuwarahisishia kupasua.

Wasiwasi mkubwa unakuja pale ambapo vijana hao wanaingia chini ya shimo la kuchimba kokoto huku ukuta ukiwa na ufa mkubwa ambao muda wote unaweza kupolomoka na kuhatalisha kifo.


 HII NDIYO HALI HARISI YA UCHIMBAJI WA KOKOTO MAARUFU KAMA SHIMONI HUKO UYOLE JIJINI MBEYA


 HATARI YA MACHIMBO HAYO YANAYOZALISHA KOKOTO ZINAZOTUMIKA KATIKA KUJENGA MAJENGO YA JIJI LA MBEYA

                BAADA YA KUZALISHWA TAYALI KWA MATUMIZI YA UJENZI

Nitumaini langu machimbo hayo yanajulikana na maraka husika lakini yatachukuliwa hatua sitahiki mala baada ya kutokea maafa kwakua ndiyo destuli ya waliopewa dhamana wa nchi hii

Sunday, November 18, 2012

RILO LA MIZIGO LAANGUKA HUKO CHUNYA NA KUSABABISHA UHARIBIFU WA MALIROLI AINA YA SCANIA LILILOKUWA LIMEBEBA MKAA LIKIWA LIMETOKEA CHUNYA KUELEKEA MBALIZI MJI MDOGO MJINI MBEYA LILIANGUKA MAENEO YA KANGA

AJARI NYINGINE SAE JIJINI MBEYA

Uharibifu hu wa mali na kupoteza maisha ya wanadamu unaoendelea kila kuitwapo leo kutaisha lini? kwani uzembe na kujiamini kwa baadhi ya madereva kumekua kukigharimu mkaisha na upotevu ma mali kutokana

na ajari za kila siku ambazo wakati mwingine zinaweza kuipukika ni kwanini lakini watu wamekua hajihurumii kwa kasababisha ajari kama unavyo ona ajari hii iliyosababishwa na ulevi tu maeeneo ya sae jijini mbeya


                          HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA AJARI HIYO MAENEO YA SAE