Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 24, 2013

WATU NANE WAMEFARIKI KWA AJALI ZA BARABARANI MBEYA


WATU nane wamefariki katika matukio matatu ya usalama barabarani mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani, imesema kuwa MNAMO TAREHE 22.09.2013 MAJIRA YA SAA 20:00HRS HUKO SOKOMATOLA BARABARA YA SOKOMATOLA/STENDI KUU JIJI NA MKOA WA MBEYA.
GARI  T.223 AGQ AINA YA  TOYOTA HIACE LIKIENDESHWA NA DUNIA S/O FRANSIS,  MIAKA 38, MNGONI, MKAZI WA AIR PORT LILIACHA NJIA KISHA KUPINDUKA NA  KUSABABISHA VIFO VYA ABIRIA SITA, KATI YAO WANAUME WANNE NA WANAWAKE WAWILI AMBAO BADO HAWAJAFAHAMIKA MAJINA WALA  ANUANI ZAO.  
AIDHA KATIKA AJALI HIYO WATU SABA WALIJERUHIWA AMBAO NI 1. JUMA S/O WARIOBA, MIAKA 32, MKAZI WA SAE 2. MWANDELA S/O MWAMSI, MIAKA 22, MKAZI WA MAJENGO 3. KAMBI S/O ALLY, MIAKA 32, MKAZI WA IRINGA 4. SELEMAN S/O SHELUKINDO, MIAKA 25, MSAMBAA, MKAZI WA ILEJE 5.NURU S/O SHELUKINDO, MIAKA 32, MSAMBAA, MKAZI WA ILEJE 6. BAHATI D/O ALLY, MIAKA 14, MKAZI WA SONGEA NA 7. DUNIA S/O FRANSIS AMBAO WOTE WAMELAZWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA.
CHANZO KINAENDELEA KUCHUNGUZWA JAPO TAARIFA ZA AWALI ZINAONYESHA KUWEPO KWA HITILAFU KWENYE BREAK..  MIILI YA MAREHEMU IMEHIFADHIWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA. DEREVA AMEKAMATWA, NA ANAENDELEA KUHOJIWA.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI  ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO KWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA. AIDHA ANATOA RAI KWA WANANCHI KUFIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA KWA AJILI YA UTAMBUZI WA MIILI YA MAREHEMU.

KENYA YATANGAZA SIKU TATU ZA MAOMBOLEZO


NAIROBI, Kenya
Rais Uhuru Kenyata ametangaza siku tatu za maaombolezo kufuatia tukio la Ugaidi lililofanywa na wanamgambo wa Al Shabaab.

Jumla ya watu 72 wameuawa katika tukio hilo huku wanajeshi sita wa Kenya wakiwa wamepoteza maisha wakati walipokuwa wakijaribu kuokoa maisha ya watu anaoshikiliwa mateka na magaidi wa al Shabab katika jumba lenye maduka la Wastgate jijini Nairobi.

Askari wengine 8 wanaripotiwa kuwa mahututi baada ya kujeruhiwa katika mapambano hayo yanayoendelea hadi sasa.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) Jenerali Julius Karangi.

Duru za Kenya zinaripoti kuwa hadi sasa watu 72 wakiwemo raia sita wa nchi za nje wamethibitishwa kuwa wameuawa pamoja na magaidi kadhaa wamekamatwa na wanahojiwa vyombo vya ulinzi na usalama kuhusiana na tukio hilo katika jengo la maduka la Westgate nchini Kenya.

Wakati huo huo Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Balozi Amina Mohammed amesema kuwa Wamarekani wawili au watatu na Mwingereza mmoja wamehusika katika shambulizi lililofanywa na magaidi dhidi ya jumba la maduka la Westgate jijini Nairobi. 

Balozi Amina Mohammed amesema washambuliaji hao walikuwa wakishirikiana na wenzao katika maeneo mbalimbali ya dunia kwa ajili ya kuua watu mwishoni mwa wiki mjini Nairobi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya amesisitiza kuwa shambulizi la sasa mjini Nairobi limefanyika kitaalamu.
Jengo la Maduka la Westgate
 Baadhi ya watu waliookolewa kutoka katika jengo la Westgate. 
                                                     Wanamgambo wa Al Shabaab

NEWS UPDATE: TAZAMA KINACHO ENDELEA NCHINI KENYA SASA, RISASI ZARINDIMA NA MOSHI MKUBWA WAONEKANA NJE YA JENGO.


Dead: Ross Langdon, an architect with dual British-Australian nationality was killed alongside his girlfriend Elif Yavuz who was just two weeks away from giving birth
Dead: Ross Langdon, an architect with dual British-Australian nationality was killed alongside his girlfriend Elif Yavuz who was just two weeks away from giving birth
Militants inside Westgate Shopping Centre have threatened to kill the remaining hostages as Kenyan security personnel try to end the siege (pictured)
Militants inside Westgate Shopping Centre have threatened to kill the remaining hostages as Kenyan security personnel try to end the siege (pictured)
Kenya Security personnel take cover outside the Westgate Mall.

Kenya Security personnel take cover outside the Westgate Mall. Islamist terror group Al Shabaab claimed it carried out the atrocity in which three Britons were killed and 175 people were left injured
Kenyan military said last night that 'most' of the hostages have been freed but a spokesman admitted today that the situation is still not clear
Kenyan military said last night that 'most' of the hostages have been freed but a spokesman admitted today that the situation is still not clear
Militants inside the shopping centre said hostages would 'bear the brunt' of any action by the Kenyan military
Militants inside the shopping centre said hostages would 'bear the brunt' of any action by the Kenyan military
Terror link: Samantha Lewthwaite, 29, originally from Buckinghamshire, was described as a 'brave lady' by Islamist terror group Al Shabaab
Terror link: Samantha Lewthwaite, 29, originally from Buckinghamshire, was described as a 'brave lady' by Islamist terror group Al Shabaab


Terrified children wait by the body of a man after escaping from the shopping centre. Militants have today threatened to kill the remaining hostages
Terrified children wait by the body of a man after escaping from the shopping centre. Militants have today threatened to kill the remaining hostages
Fleeing: A child runs to safety across the shopping mall following the deadly attack in Nairobi, Kenya
Fleeing: A child runs to safety across the shopping mall following the deadly attack in Nairobi, Kenya. Three Britons have been killed in the attack
Terror: Armed police guide a woman carrying a child to safety at Westgate shopping centre in Nairobi
Terror: Armed police guide a woman carrying a child to safety at Westgate shopping centre in Nairobi

Daily Ma

Sunday, September 22, 2013

AL SHABAAB WATHIBITISHA KUHUSIKA KATIKA MAUAJI YA KIGAIDI NAIROBI.

Baadhi ya majeruhi katika shambulio la kigaidi jijini Nairobi.
-Wadai Kenya ilipuuza onyo lao
 
-Wasema ni kulipiza kisasi kwa Kenya kijihusisha katika vita ya Somalia
-Watu zaidi ya 30 wadaiwa kupoteza maisha wengine wakijeruhiwa
KUNDI la Alshabaab, limethibitisha kuhusika na shambulio la kigaidi lililotokea jana kwenye jengo la ghorofa nne lenye maduka la Westgate jijini Nairobi, nchini Kenya.

Alshabaab kupitia kwa afisa wake mmoja, imethibisha hilo na kueleza kuwa shambulio lilikuwa na kulipiza kisasi baada ya Kenya kujihusisha na vita ya Somalia.



Na Kenneth Kinonko  wa Globu ya Jamii, Nairobi
Magaidi wa kundi la Al Shabaab limesema kuwa linahusika na shambulio katika jumba la maduka la Westgate jijini Nairobi mchana wa Jumamosi Septemba 21, 2013 ambalo limeacha zaidi ya watu 30 kuuwawa. 
Kupitia ujumbe wao katika mtandao wa twitter, kundi hilo limesema shambulio hilo ni ujumbe kwa Serikali ya Kenya kuitaka iondoe majeshi yake yote kutoka Somalia. Kundi hilo pia limedai kuwa limeua watu zaidi ya idadi inayotajwa na vyombo vya usalama vya Kenya.
Hata hivyo, Waziri wa mambo ya Ndani wa Kenya Joseph Ole Lenku amesema serikali bado haijabaini ni nani wamehusika na shambulio hilo. 
Wakati huo huo idadi ya watu wanaosadikiwa kuuwawa imetajwa kuwa ni 30 na zaidi ya 50 wamejeruhiwa
Askari kanzu na mtutu wake mkononi akishikilia tumbo baada ya kujeruhiwa
Wateja wakihaha ndani ya duka hilo
Askari kanzu wakitafuta magaidi chumbha hadi chumba
Watu wakitembea kwa magoti na mikono mbele ya mwenzao mmoja ambaye inaonesha amedhakufa
Askari kanzu na mtutu wake mkononi akimuokoa mtoto na mwanamke kutoka eneo la tukio katika picha hii nadra ambayo inaeleza kila kitu.

Hali ilivyokuwa ndani ya jengo lililovamiwa na magaidi.

Walioshuhudia tukio hilo wanadai watu waliovalia magwanda yalioonekana kama ya kijeshi huku wengine wakiwa wamefunika nyuso zao walivamia jengo hilo huku wakifyatua risasi.
Maduka hayo ya Westgate hutendelewa sana na matajiri pamoja na wageni kutoka nchi mbalimbali.
Kupitia mtandao wao wa Twitter, Al Shabaab imesema kuwa Kenya ilijidai kutosikia onyo hizo, na kuendelea kuwaua waislamu wasio na hatia nchini Somalia, na shambulio la Westgate ni tone tu katika bahari ya mfano wa yanayowakumba wasomali nchini Somalia.
Taarifa kutoka Ikulu ya nchini Kenya, zinadai kuwa mmoja wa watuhumiwa aliyekamatwa katika tukio hilo  alifariki kutokana na majeraha yake. Magaidi wapatao kumi walivamia jengo la kifahari la Westgate jana mchana la kuwapiga risasi kiholela Wakenya waliokuwa wanaendelea na shughuli zao za kawaida.

Wednesday, September 18, 2013

Sheikh Ponda akwama kupata dhamana Morogoro



  Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
Sheikh Ponda anashtikiwa katika Mahakama hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano hadhara mwezi uliopita.
Kiongozi huyo wa umma wa Kiislam Tanzania amenyimwa dhamana na hivyo kurejeshwa tena rumande mpaka kesi yake itakaposomwa tena Oktoba  Mosi.






 Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.




 
Sheikh Issa Ponda akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo kusikiliza kesi yake






 Wafusi wa Sheikh Ponda wakiwa wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa mahama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro.


Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa mahakamani leo wakati kesi hiyo ikiendelea mjini Morogoro.

MTAZAME MWANAMKE MREFU NA NA MWANAUME MFUPI DUNIANI WAKIWA PAMOJA....!!


"Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni" Katika hali isiyokuwa ya kwaida huyu ndiye mwanamke aliyefanikiwa kuingiza katika kitabu cha kumbukumbu ya Dunia WORLD RECORD GUINESS BOOK. La kushanzaza zaidi walimkutanisha na mtu mfupi zaidi Duniani.











Tazama video hapo chini...