Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 31, 2013

LUTENI WA MLIMA WA JWTZ ALIYEUAWA AKILINDA AMANI DRC CONGO AZIKWA DAR


 Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakishusha kwenye gari jeneza lenye mwili wa  askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
PONGEZI
 Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakiwa wameinamia kwa huzuni  jeneza lenye mwili wa  askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
PONGEZI
 Waombolezaji wakijiandaa kufanya maziko
 Waombolezaji wakifanya maziko

 Askari wa JWTZ wakitoa heshima wakati wa maziko
 Meja Leonidas Luangisa akisoma wasifu wa marehemu Luteni Mlima.
Mseamaji Mkuu wa Familia ya Mlima, Balozi Alhaji Saleh Tambwe akisoma za familia na kuwashukuru watu wote walioshiriki kwenye mazishi hayo.

WIMBI LA KUUAWA WALINZI JIJINI MBEYA LAZIDI KUSHAMILI

BAADA YA KULIPOTIWA KWA VITENDO HIVYO MARA KWA MARA MLINZI WA KAMPUNI YA IMARA SECURITY ILIYOPO UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE AUWAWA KINYAMA



ASKALI WA JESHI LA POLISI WAKIJIANDAA KUUCHUKUA MWLI WA MLINZI HUYO


MWILI WA MLINZI WA KAMPUNI YA IMARA SECURITY

DUKA ALILOKUA AKILINDA MLINZI HUYO

ASIKALI WAKIWA WAMEFIKA ENEO LA TUKIO

MAJAJI KUAMUA RUFAA YA BABU SEYA


MAJA KUTOAMUZI WA HUKUMU YA BABU SEYA
 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania jijini Dar es Salaam leo, kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo. Nguza na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na ulawiti. (Picha na Francis Dande)
 Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.  
 Mahakamani.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando.
 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza 'Papii' wakiwa na nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
 Nyuso za matumaini.......
 Johnson  Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.
 Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.
 Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.

 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza wakati wakitoka mahakamani.

Wednesday, October 30, 2013

KWA MTINDO HUU MBEYA CITY TUNAIOMBEA MABAYA

MASHABIIKI WA MBEYA CITY WALITUPIA MAWE BASI LA PRISON NA KUVUNJA VIOO





BASI LA TIMU YA PRISON LIKIWA LIMEVUNJWA KIOO CHA MBELE NA NYUMA




GARI DOGO LILILOVUNJWA NA MASHABIKI WA MBEYA CITY


MCHEZAJI WA PRISON LUGANO MWANGAMA ALIE PIGWA NA MASHABIKI WA MBEYA CITY AKIWA KATIKA GARI AKIKIMBIZWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA


 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Kwanza 
 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Pili 
Mpira Unaendela ....
 Mpira umekwishaaa Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashukuru kwa ushindi.. huku moja wa mashabiki akiwa anakimbizwa na Polisi 

 Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashangilia Ushindi 
Hapatoshi Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia ushindi

Monday, October 28, 2013

JK AMWAPISHA NJOOLAY KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA


 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zana za kazi baada ya kumuapisha Daniel ole Njoolay (kulia) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Ikulu, Dar es Salaam leo.
 JK akimwapisha Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji
 Rais Jakaya Kikwete akitia saini kiapo cha Naibu Waziri wa Kilimo, Raphael Dalubi baada ya kumuapisha
 Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Katibu Mtendaji mpya wa Bodi ya Mishahara na Masilahi, Tamika Mwakahesya.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano waKimataifa, John Haule 9kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Ulaya wa wizara hiyo pamoja na Steven Wasira (kulia)
 Wageni waalikwa
 Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) na Makamu wa Rais, Dk. Mohame Gharib Bilal (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na walioapishwa. Kutoka kushoto ni Dalubi, Mrindoko na kutoka kulia ni Njoolay na Mwakahesya.
 JK akizungumza na Njoolay
 JK akimchukua Mjukuu wa Mrindoko, Keila Kajia (6) wakati wa hafla hiyo
 JK kweli ni mpenda watoto
 JK akizungumza jambo na Makamu wa Rais, Dk. Bilal pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba wakati wa hafla hiyo.
JK akizungumza jambo na Makamu wa Rais, D