Pages

Ads 468x60px

Monday, December 30, 2013

Mbeya Film all stars wazindua picha mpya inayoitwa Ntale jijini Mbeya

Ni usiku wa kuamkia Kristmas katika ukumbi wa mkapa watu wajitokeza kushuhudi uzinduzi huo

                                Watu mbalimbali walojitokeza kushuhudia uzinduzi wa filam ya Ntale

                                    Waigizaji wa filam hiyo kabla ya kuonyesha uzinduzi wao

                         Ngoma ya asili ya kinyakyusa watumbuiza katika uzinduzi wa film ya Ntale



         Waigizaji wa kikundi cha Mbeya Filam wakitoa burudani kabla ya kuonyesha onyesho la kuzindua




       Waigizaji wakizindua filam kwa kuonyesha baadhi ya matukio yaliyomo ndani ya filam ya Ntale

OBAMA NA MKEWE MICHELLE WADAIWA KUTENGANA


Barack Obama na mkewe Michelle kila mmoja akionekana kuwa kivyake.
Obama akimshika begani Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya Mandela nchini Afrika Kusini. Kulia ni Michelle Obama akiwa amenuna.
 
RAIS wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanadaiwa kutengana. Habari zinadai kuwa wawili hao wanalala katika vyumba tofauti kwa sasa ndani ya Ikulu ya Marekani 'White House'.
Mgogoro baina ya wawili hao ulianza zamani na wameweza kuendelea kuishi pamoja kwa sababu ya watoto wao wawili wa kike Sasha na Malia na kulinda heshima ya urais.
Michelle anadai amechoka na atakutana na mwanasheria wa masuala ya talaka ili aweze kuachana na rais huyo wa 44 nchini Marekani. Michelle ataendela kuishi Ikulu 'White House' kwa muda wote uliobaki katika kipindi cha utawala wa Obama, ila ameweka wazi kuwa watakuwa wakiishi vyumba tofauti.
Anataka kuishi katika chumba kimojawapo cha familia kilichowazi na anajiandaa kuhamisha nguo zake na kila kilicho chake kutoka kwenye jumba lao la kifahari la mamilioni ya dola lililopo Chicago.
Michelle alichanganyikiwa zaidi baada ya Obama kupiga picha za kimahaba akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya marehemu Nelson Mandela nchini Afrika Kusini.
Obama mwenye miaka 52, alikuwa akifurahi, kunong'enezana na kumshika begani mrembo huyo mwenye umri wa miaka 46 ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Denmark tangu Oktoba 3, 2011.

Sunday, December 22, 2013

Wadu wa Maji na usafi wa mazingira wahitimisha warsha ya siku tatu

Wafanya majumuisho ya pamoja katika ukumbi wa Tugimbe Mbalizi kwa kubadilishana uzoefu kati ya wilaya Marali na Mbeya vijijini
Bwana Afya wa Wilaya ya Mbarali Emedani Natron akitoa taarifa ya ufuatiliaji wa utafiti wa mradi wa usafi wa mazingira katika kata ya  mshewe beya vijijini

Fflorance mbwele wilaya ya Mbeya vijijini wakiwasilisha utafti waliufanya katika kata ya Ihahi wilaya ya Mbarali



 Wadu wakiwa katika kusikiliza kwa makini mada zikiendelea kusomwa
Mtendaji wa kijiji cha ihahi Abraham E Shangwa akichangia mada
Mtendaji wa kijiji cha mjele kata ya mshewe Evarist Beni  akitoa ufafanuzi juu ya matumizi ya mashimo ya taka
 Msaidizi wa mazingira kata ya ihahi Khatibu Kilumbu  akijibu swali la   kuhusu matumizi ya  kibuyu chilizi

                Mwandishi wa Blog ya Kalulunga Bwana Gordan akiwajibika katika War+sh hiyo
Watendaji wa kata ya ihahi wakishauliana

Thursday, December 19, 2013

MATUMIZI YA CHOO NI TATIZO KUBWA KWA WATANZANIA WAISHIO VIJIJINI

Hayo yamebainika katika Warsha ya wadau wa majina na usafi wa mazingira (WASH) jijini Mbeya iliyo iliyo dhaminiwa na shirika la watoto duniani UNICEF na kutembelea katika kutafiti vijiji vya  Lipange na Lugelele kata ya Uhahi Wilaya Mbarali na kujionea hayo
Afisa mtendaji wa kata ya Uhahi Cosintantino Tandika akiongea jambo katika kikao cha pamoja na wadau
                              Afisa afya akionyesha dawa ya kutibu maji kabla ya matumizi

Wadau wakisikiliza kwa makini na kunakili baadhi ya changamoto katika kikao cha pamoja na watendaji
                       Afisa Afya wa wilaya mbeya Emmanuel Mwaigugu akichangia mada
            Afisa mipango wa Mbeya vijijini Langson Nsusa nae hakuwa nyuma kutoa mawazo yake
                             Injinia wa maji Yesaya Kyungu akijaribu kudadisi jambo
           Baada ya kikao cha ndani wadau wanakwenda kujionea hari halisi huko kwa wananchi


                     Baada ya kuliona gari si mkubwa wala mtoto wote walitimua mbio


Baada ya kuona hivyo maafisa walitumia njia ya kuwapatia pesa ndipo watoto walipo jitokeza na kubainisha wazazi wao wapo ndani wamejificha
       Baba mwenye mji huyu hapa kalala ndani ya nyumba hii lakini alikataa kwamba yeye si muhusika na hataki apigwe picha wala kuzungumzia chochote


Lengo ni kujionea kama elimu ya matumizi choo kwa jamii ya wafugaji imefika na hiki ndicho choo cha mzee huyu
                                             Maofisa haooo wanaelekea Kaya nyingine


                         Karibuni sana jamani mbana mnanitisha? ni Bi Sofia mahona mama mwanye mji huu

           Baada ya salamu Afisa mtendaji akatoa utambulishi na lengo la ujumbe huu kuwepo pale

 Afisa Elimu na ufundi Frorence Mbwele kulia na Mwandishi wa habari Ester mwita wakifanya mahojiano
                             Baada ya mahojiano wanaelekea kuangali choo anachokitumia



                               Hiki ndicho choo anachokitumia na dumu la kunawia
Hapa ni sehemu ya kutupa taka

                                                                     Sehemu ya kuoga
                                   KICHANJA CHA KUKAUSHIA VYOMBO


                                                           JAMANI SISI TUNAPITA TU

                                     KAYA NYINGINE CHOO CHAKE HIKI

                        BAADAE MAOFISA WAKATEMBELEA SHULE YA MSINGI UHAHI
MWALIMU MKUU MSAIDIZI VERONIKA BUKUKU AKITOA MAELEZO KWA MAAFISA WALIOTEMBELEA SHULENI KWAKE



                   HILI NDILO TUNDU LA CHOO CHA WATOTO WA SHULE YA MSINGI IHAHI
KISHA MWALIMU MKUU MSAIDIZI VERONIKA BUKUKU AKAWATEMBEZA MAZINGIRA YA SHULIE NA KUJIONE HARI HII
 MWANDISHI WA HABARI WA KITUO CHA MATANGAZO CHA BARAKA FM RADIO ESTER MWITA AKIHOJIANA NAKIONGOZI WA MRADI GEOFREY MACKENZIE
 HIKI NDICHO CHOO KILICHOJENGWA KUA MFANO WA MRADI HUU KIJIJINI HAPO
SHULE YA MSINGI UHAHI YAANZA KUTEKELEZA KUIGA UJENZI WA CHOO BARA