Pages

Ads 468x60px

Monday, March 31, 2014

WAANDISHI WA HABARI WAPATA SEMINA YA UKATILI WA JINSIA MKOANI MBEYA


         ILIYO ENDESHWA NA WARTA REED KATIKA UKUMBI WA MBEYA PICK HOTEL
CHACHA THORM AFISA MRADI HGFMRI/WRP AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI





       WAANDISHI WA HABARI WAKIENDELEA KUFUATILIA KWA MAKINI SEMINA HIYO


             BAADHI YA WAANDISHI WAKITETA JAMBO WAKATI SEMINA IKIENDELEA

                                   MWANASHERIA AKIFUNDISHA HAKI ZA WATOTO



                                              BAADHI YA WAANDISHI WAKICHANGIA MADA



     WAANDISHI WAKIPATA KISA KUTOKA  KWA MWANDISHI WA HABARI BAKALEMWA

BAADHI YA WAANDISHI WAKIWA KATIKA MAKUNDI WAKIFANYA KAZI ZA MAKUNDI





                               WAKIPATA KIFUNGUA KINYWA MALA BAADA YA SEMINA




                   BAADHI YA WAANDISHI WAKIWASILISHA MADA KATIKA SEMINA HIYO





DR AKIONYESHA MATUMIZI YA KITI YA KUKUSANYIA USHAHIDI KATIKA KESI ZA  UBAKAJI


WANASEMINA WAKIWA KATIKA PICHA CHA PAMOJA MALA BAADA YA KUMALIZA MKUTANO

Thursday, March 6, 2014

GODFREY MGIMWA APOKELEWA KAMA MFALME KIJIJINI KWAO MAGUNGA


 Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa (kulia) akiwa  na bibi yake, Consolata Semgovano wakipungia mikono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji alichozaliwa cha Magunga, Iringa Vijijini leo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Nyumbani  alikozaliwa babake na mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa, marehemu Dk. Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo.
 Msafara wa Mgimwa ukiingia katika Kijiji alichozaliwa cha Magunga.

 Mgimwa akisalimiana na wazee wa Kijiji hicho.


 Mgimwa akisalimiana na akinamama wa kijiji hicho.

 Mzee wa Kijiji cha Magunga akicheza kwa furaha wakati wa kumpokea Mgimwa 



 Ni nderemo nderemo kwa kwenda mbele ikiwa ni furaha ya wakazi wa kijiji hicho wakati wa kumlaki Godfrey Mgimwa.








 Mgimwa akijiunga kucheza na wanakijiji wenzie alipowasili katika Kijiji chao cha Magunga
 Msanii wa muziki wa kiszazi kipya na filamu, Ummy Wenslaus 'Dokii'akifanya vitu vyke katika mkutano huo wa kampeni
 Wananchi wakinyoosha mikono ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyoi Godfrey Mgimwa siku ya uchaguzi Machi 6, mwaka huu.
 Kila mara ilikuwa ni furaha
Mgimwa akiongozwa na wanakijiji wenzie
 Wakiwa wamesimama kwa muda wa dakika moja kumuombea marehemu Dk. William Mgimwa
Bibi yake Godfrey Mgimwa , Consolata Semgovano akitoa neno la baraka kwa mjukuu wake ili ashinde uchaguzi huo