Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 18, 2016

TAJATI WAENDELEA NA ZIARA ZA UTALII NA UWEKEZAJI SASA WATEMBALEA KIWANDA CHA MARMO GRANITE MINE LTD

MKURUGENZI MTENDAJI WA MARMO SALM JESSA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE

BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI ZA UTALII NA UWEKEZAJI TANZANIA  (TAJATI) AKIMSIKILIZA AKIONGEA JAMBO MKURUGENZI WA MARMO
 MRATIBU NA HAFISA HABARI WA TAJATI RASHIDI MKWINDA AKIWAJIBIKA ILI KUPATA PICHA MUHIMU KWA HABARI.

WANAHABARI WAKIELEKEA ENEO LA UZALISHAJI KUJIONEA SHUGULI ZINAVYO ENDELEA
 WANAHABARI WAKIONESHWA JIWE AMBALO LIMESHA KATWA KUTOKA MGODINI NA KULETWA KIWANDANI TAYALI KWA MATUMIZI MBALIMBALI
                        BAADHI YA HATUA ZA JIWE HILO ILI KUPATA MAHITAJI HUSIKA
BAADHI YA MATUMIZI YA JIWE HILO NI PAMOJA NA MALUMALU ZA KUSAKAFIA NYUMBA

                                                             KUSAKAFIA MAKABURI
                                                                    KUSAKAFIA NGAZI
                                  FUNNITURE ZA NDANI KAMA STURI NA MEZA

 MKURUGENZI MTANDAJI WA MARMO SALM JESSA AKIONESHA MATUMIZI NA UBORA WA VIFAA VYAO KWA MWANA HABARI

0 comments:

Post a Comment