Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 27, 2016

Mwenyekiti wa CCM, Dkt JAKAYA KIKWETE awasili nchini akitokea CHINA


 Mwenyekiti a CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete akiwa na Katibu wake, Suleiman Mwenda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo akitokea chini China alikokuwa akiwa katika ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CCP).

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida.

 Mwenyekiti wa CC,M Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Madabida.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungmza na  baadhi ya viongozi.
  
 Jk akiingia ukumbini kuzungumza na waandishi wa habari.

 Jk akiwa tayari kuzungumza na waandishi wa Habari.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari leo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere mjini Dar es Salaam, akitoa nchini China alikokuwa katika ziara ya kikazi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. Ramadhani Madabida. 

(Picha zote na Bashir Nkoromo).

0 comments:

Post a Comment