Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 22, 2016

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Mazungumzo na Ujumbe wa Chuo Kikuu cha AGA KHAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mai 19, 2016. Kutoka kushoto ni  Al - Karim Haji, Firoz Rasul, Joel Lugallo na Amin Kurji.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan baada yamazungumzo yao  ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.  Wengine pichani kutoka  kushoto ni Al - Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel Lugallo.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment