Ni jumapili hii katika ukumbi wa mtenda ambapo lilifanyika
shindano hilo la nyimbo za injili lililozikutanisha zaidi ya kwaya na band
zisizopungua alobaini
Katika shindano hilo MATHA MTWALE band kutoka simike waliibuka
mshindi kwa kupata kura 2300 na kujitwalia kitita cha shilingi milioni moja na
mshindi wa pili SEVEN MIRACLE band waliopo isanga walipata kura 2100 na kujinyakulia
kiasi cha shilingi Lakitatu na mshindi wa tatu alikuwa ni KINGDOM CHOIR kutoka kanisa
la moraviani ushurika wa mbeya mjini ambao walijinyakulia kiasi cha shingi Laki
mbili.
Shindano hili ambalolili ambatana na tamasha kubwa liliandaliwa na kampuni ya MALAFYALE
ENTERTAINMENT lenye lengo la kuahamasisha na kukuza vipaji vya waimbaji wa
nyimbo za injili lakini pia kuunga mkono jitihada zao na shinda la tatu
mfurulizo kila mwaka huandaliwa na kuwapatia zawadi kwa wale wanaoibuka kua
washindi
Tamasha hilo lilipambwa na waimbaji maarufu kutoka jijini Dar es salam kama vile
Enock mzee wa zunguka zunguka na Matha Baraka.
MATHA MTWALE ALIYESHINDA KITITA CHA SHILINGI MILIONI MOJA KATIKA SHINDANO LA TIMIZA NDOTO YAKO
ZAWADI TATU ZA WASHINDI WA SHINDANO LA TIMIZA NDOTO YAKO
MATHA BARAKA HAPO JUU NA ENOCK WAKILISHAMBULIA JUKWAA SIKU YA TAMASHA LA TIMIZA NDOTO YAKO
MSHINDI WA KWANZA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA SHILINGI MILIONI MOJA NA MGENI RASMI MKURUGENZI WA KAMPUNI YA JP PRODUCTION JEREMIA MWAKANYILENGE
![]() |
MSHINDI WA TATU AKIPOKEA ZAWADI YA SHILING LAKI MBILI |
![]() | ||
MSHINDI WA PILI AKIPOKEA ZAWADI YA SHILINGI LAKI TATU |
![]() |
MGENI RASMI JEREMIA MWAKANYILENGE KABLAYA KUTOA HOTUBA AKIIMBA JUKWAANI |
MWAKANYILENGE AKITOA HOTUBA KABLA YA KUTOA ZAWADI
![]() | |
MKURUGENZI WA MARAFYALE ENTERTAINMENT KULIA AKIMKABIDHI MGENI RASMI MATOKEO YA SHINDANO LA TIMIZA NDOTO YAKO |
![]() |
MRATIBU WA SHINDANO LA TIMIZA NDOTO YAKO OBADI KULIA WAKIWA MEZAKUU KATIKA TAMASHA |
MGENI RASMI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASHINDI WA SHINDANOLA TIMIZA NDOTO YAKO NA MAWAKALA WAO
![]() |
KWAYA NA BAND MBALIMBALI ZILITUMBUIZA KATIKA SHINDANO LA TIMIZA NDOTO YAKO |
0 comments:
Post a Comment