Staa wa filamu za Fast and Furious, Paul William Walker amefariki
dunia Jumamosi mchana katika ajali ya gari jijini Los Angeles,
Marekani. Alikuwa katika gari la rafiki yake Roger Rodas ambaye naye
amepoteza maisha katika ajali hiyo. Amefariki akiwa na umri wa miaka 40.
Tuesday, December 3, 2013
STAA WA MOVIE ZA FAST AND FURIOUS, PAUL WALKER AFARIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment