Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Naibu
Waziri wa Mambo wa CPC Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma ambapo walizungumzia
mahusiano imara kati ya Tanzania na China pamoja na mipango mbali mbali
ya kimaendeleo.
Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa wa Dodoma Mhe. Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa
kikao cha Naibu Waziri wa Mbao ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Watu
wa China Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment