Pages

Ads 468x60px

Monday, May 30, 2016

MTAZAJI WA BARAKA FM IVILA MGALA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE NA WAFANYAKAZI WENZIE

                   Waungana nae kukata keki na kusherehekea Live ndani ya kipindi cha Lunch Time

Mtangazaji wa kipindi cha Lunch Time kinachorushwa na Kituo cha matangazo Baraka Radio Mbey IVILA MGALA akikata keki ktika sherehe yake ya kuzaliwa Live

                                  Ivila akisikilizia akiimbiwa wimbo wa Happy Birthday










           

                          Watumishi wa Baraka radio wakishiriki kula keki katika sherehe hiyo fupi


      Babu yake Charles Abraham kushoto akimlisha keki na kumpongeza kufikisha miaka kadhaa





Shuhudia Live ndani ya kipindi cha Lunch Time ilivyo kua watangazaji wakimpongeza matangazaji mwenzao Ivila Mgalla siku ya kuzaliwa kwake

0 comments:

Post a Comment