Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 26, 2016

TAJATI WAFANYA UTALII WA NDANI KUJIONEA VIVUTIO NA UWEKEZAJI WAJIONE UJENZI WA MELI 3 ZIWA NYASA

WANACHAMA WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA UTALII NA UWEKEZAJI TANZANIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKANDARASI WA UJENZI WA MELI SONGORO MARINE COMPANY


MKUU WA BANDALI YA ITUNGE PORT PERCIVAL SALAMA AKIONGE NA WANAHABARI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO BANDALINI HAPO
MWENYEJI WA MSAFARA HUO KILUMBO AKITOA UTAMBULISHO BAADA YA KUWASILI BANDALINI.
           MWENYEKITI WA TAJATI ULIMBOKA MWAKILILI AKIONGEA JAMBO
MAKAMU WA MWENYEKITI WA TAJATI CHRISTOPHA NYENYEMBE AKITOA HISTORIA YA CHAMA HICHO
                            BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BANDALI
 MKURUGENZI WA HABARI TAJATI FELIX MWAKYEMBE AKITOA NENO
        MMOJA WA WANACHAMA TAJATI JOHACHIM NYAMBO AKIONGEA






                                        MITAMBO IKIENDELEA KUSHUSHA VITU VIZITO
MKANDALASI SONGORO MARINE AKINGEA KAMBO KABLA YA KUWATEMBEZA WAANDISHI KATIKA MRADI WA UJENZI WA MELI











WAANDISHI WA HABARI WAKITEMBEZWA MAENEO MBALIMBLI KATIKA MRADI
 SONGORO MARINE AKIONESHA MELI YA ABIRIA ITAKAVYO KUA BAADA YA KUKAMILIKA UJENZI WAKE

                                                 UJENZI WA CHELEZO UMEKAMILIKA

                               UJENZI WA MELI MOJA YA MIZIGO IMEKAMILIKA 70%

                                 MELI YA PILI IMEKMILKA 40% YA UJENZI WAKE



                            BAADHI YA WANAKIJIJI WAKIVUKA KUJA BANDALINI

MWENYEKITI WA TAJATI AKIMSHUKURU ENG: SONGORO MARINE KWA KAZI KUBWA ALIYO IFANYA

HABARI

TAJATI WAFANYA UTALII WA NDANI KUJIONEA VIVUTIO NA UWEKEZAJI

Chama cha waadishi wa Habari za utalii na uwekezaji Tanzania (TAJATI) wafanya ziara ya utalii wa ndani katika maeneo mbalimbali ya utalii na uwekezaji katika wilaya ya Rungwe na Kyela jijini Mbeya, Ikiwepo Bandali ya Ngonga ambako Serikali imewekeza zidi ya bilioni 2 katika mradi wa ujezi wa meli tatu zikiwepo mbili za mizigo na moja ya Abilia.

Hayo ni katika ya muendelezo wa ziara za chama hicho katika kuhamasisha mambo ya utalii na uwekezaji ndani ya Tanzania na mkoa wa mbeya  kwa ujumla, Pia Tajati imeendelea kuibua na kuzitangaza fulsa zilizopo nchini ambazo hazijajulikana na hazijatangazwa kwa wananchi wa Tanzania na Duniani kote.

Tajati imejionea jinsi serikali ya Tanzania ilivyo anza kuwaamini makandalasi wazawa katika kuwapa miradi mikubwa kama huu ambapo mkandarasi mzawa na mzarenda wa Kitanzania Songoro Marine Company wamepewa tenda  hiyo katika kusimamia na kuendesha mradi huo  kitu ambacho hakijazoeleka katika nchi yetu,

MWISHO







0 comments:

Post a Comment