Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mzungumzaji Mkuu wa Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi katika
mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na pacific ACP
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano huo uliofanyika leo
Juni 01,2016 katika kituo cha mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua
New Guinea. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye
mkutano huo.
Rais
Mstaafu wa Nigeria General Olibegan Obasanjo akimpongeza Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuhutubia
Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi kwenye mkutano wa nane kwa Wakuu
wa Nchi za Afrika, Caribean na pacific ACP uliofanyika leo Juni 01,2016
katika kituo cha mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua New Guinea.
Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye mkutano
huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Waandaaji wa Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi
katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na pacific ACP
baada ya kuhutubia kwenye mkutano huo uliofanyika leo Juni 01,2016
katika kituo cha mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua New Guinea.
Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye mkutano
huo.
0 comments:
Post a Comment