skip to main
|
skip to sidebar
Pages
Home
Ads 468x60px
Monday, June 6, 2016
Marekani kuipa TZ msaada wa dola 800m
Uhusiano kati ya Marekani na Tanzania unaonesha dalili za kuimarika licha ya nchi hiyo kukatiza msaada wa awamu ya pili ya mradi wa changamoto za milenia (MCC-2) kwa Tanzania.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mheshimiwa Mark Childress amesema hayo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Bwana Childress alisema kuwa hivi karibuni ''kupitia shirika la misaada la Marekani, USAID tunatarajia kutia saini mkataba wa zaidi ya dola milioni 400 kwa ajili ya mwaka ujao.
''Aidha tumezungumza kuwa kutakuwa na dola milioni 800 zitakazotolewa na Marekani kwa ajili ya miradi mbalimbali na hii haihusiani na MCC.'' Alisema balozi Childress
"Ukweli ni kwamba tunayo mengi ya kufanya pamoja katika sekta mbalimbali zikiwemo afya, elimu na kilimo na tutafanya kila juhudi kuhakikisha yanafanikiwa"
Rais Magufuli kwa upande wake alisema kuwa serikali yake itaendeleza kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano na Marekani.
Aidha rais huyo alisema kwamba fedha za msaada kutoka Marekani ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania.
"Amekuja kutuhakikishia kwamba watatoa hela kwa ajili ya Tanzania na anasema sasa hivi watatoa zaidi ya dola milioni 800, na mkataba mwingine tunaweza tukasaini hata kesho wa dola milioni 410.
Rais Magufuli alisema ''Balozi anasema kutotoa hela za MCC hakuna maana kupotea kwa urafiki wa Tanzania na Marekani, urafiki wa Tanzania na Marekani upo pale pale na sasa wanaongeza hela nyingi zaidi katika kuonesha kwamba juhudi za ''Hapa kazi tu'' zinaendelea" Taarifa hiyo ya ikulu ilielezea.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Social Icons
KWA MATANGAZO
MWANDISHI NA MHARIRI WA BLOG YA MALAFYALELEO
KWAMAWASILIANO NA MATUKIO MBALIMBALI PIGA SIMU NO: 0713/0754/0784 632 119
TUMA TUKIO
SHARE BLOG HII
WALIOTEMBELEA
HUU NI UBUNIFU MKUU
HIVI NI VYUNGU VILIVYOKO MATEMA KYELA
Powered by
Blogger
.
TAZAMA HABARI ZA NYUMA
TAZAMA HABARI ZA NYUMA
April (3)
March (1)
November (1)
October (5)
September (10)
August (8)
May (1)
January (2)
November (1)
October (2)
September (11)
August (4)
July (20)
June (85)
May (106)
April (100)
March (34)
February (138)
January (53)
November (1)
September (2)
July (2)
June (2)
May (2)
April (13)
March (16)
February (3)
January (2)
December (6)
November (3)
October (9)
September (5)
August (11)
July (9)
June (25)
May (10)
April (25)
March (5)
February (24)
January (16)
December (23)
November (17)
October (16)
September (8)
August (19)
July (19)
June (31)
May (23)
April (18)
March (16)
February (10)
January (16)
December (16)
November (20)
October (60)
September (6)
August (4)
July (26)
June (13)
May (18)
April (3)
WAHESHIMU WATU WOTE
VILE ULIVYO MWAISHO WA MAMBO YOTE
Contributors
Editor
malafyale
KIMONDO
KIVUTIO CHA UTALII MKOANI MBEYA
KIMONDO KILCHOKO WILAYANI MBOZI MKOA WA MBEYA
Popular Posts
MAISHA YA KANUMBA NA FREEMASONS
Written By FURAHA YA TANZANIA on Friday, April 5, 2013 | 4/05/2013 05:01:00 AM PENTAGRAM YA FREEMASON MWENZAKE MICHAEL JACKSO...
PICHA 100 ZA UCHI ZA MSANII MANAIKI SANGA NA MADEMU 30 ZANASWA. **WAPO MAMISS KIBAO.
xdjay imefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutish...
WIVU WA MAPENZI WASABABISHA MAUAJI YA KUTISHA DAR, MFANYABIASHARA WA MWANZA AUA DADA WA MPENZI WAKE, AJERUHI WENGINE NA KUJIPIGA RISASI NA KUFA PAPO HAPO
Majeruhi wa tukio la mauaji ya wivu wa mapenzi, Francis Shumila, akiwa chumba cha dharura Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es...
MBEYA WAKWAMA KUTEKELEZA AGIZO LA JPM.
RC Makalla ahaha, apiga marufuku Ma-dc, Ma-ded na Wakuu wa Idara kusafiri nje ya Mkoa Na Moses Ng’wat,Mbeya. MKUU wa Mbey...
JESHI LA POLISI KUIMALISHA ULINZI SOMGWE AIRPOT MBEYA
JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanzisha kituo kidogo cha Polisi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe ili kuimarisha ulinzi k...
RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEKHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akibidhi Rambirambi(kwa niaba ya...
WAFUGAJI WA KIMASAI WAONDOA MIGOGORO NA WAKULIMA KWA KUWEKA MIUNDO MBINU RAFIKI YA MALISHO
WA PILI KUSHOTO MWANEKITI WA KIJIJI CHA MATEBETA BAADHI YA WAASISI WA KIJIJI HICHO MWANDISHI WA HABARI RASHIDI MKWINDA AKIONGEA JAMB...
Bunge lathibitisha Malipo ya Shilingi Milioni 43 Kwenda Hospitali ya Nairobi
Ofisi ya Bunge inapenda kusisitiza kuwa fedha zilizochangwa na Wabunge kiasi cha Tsh. Milioni 43 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya...
Dkt MPANGO aagiza Kampuni ya Williamson Diamond Ltd Ichukuliwe Hatua
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), ameviagiza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kampuni ...
TEMBELEA MALAFYALELEOBLOGGER UONE MAAJABU YA MKOA WA MBEYA.
ZIWA KISIBA LILIKO MASOKO TUKUYU
Followers
TANZANIA YANGU
0 comments:
Post a Comment