Pages

Ads 468x60px

Monday, June 6, 2016

Profesa MAKAME MBARAWA asema Nauli za Usafiri wa Anga Kupunguzwa

Waziri waUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa (Nduli), Bi.Hanna Kibupile.
Waziri waUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza (Wa pili Kushoto) na Meneja Kiwanja cha Ndege cha Iringa (Nduli), Bi.Hanna Kibupile (Wa pili kulia).
Kaimu Meneja wa Mamlakaya Usafiri waAnga (TCAA) Mkoani Iringa Bi. Rukia Bushiri akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa namna ndege zinavyoongozwa kutua katika kiwanja cha ndege cha Nduli.

0 comments:

Post a Comment