Ajari hiyo imetokea jana mida ya saa 1:00 jioni maeneo ya
sae maarufu kwa mbilinyi jijini mbeya
iliyolihusisha basi la kampuni ya ABOOD ya morogoro linalofanya safari
zake kati ya MBEYA na DAR ES SALAM na
roli la mizigo lilikuwa likitokea jijini mbeya na kuhama upande wake na
kulifuata basi hivyo
kushindwa kulimudu na kuligonga kwa mbele na kusababisha
kifo cha mfanyakazi wa basi hilo aliyejulikana kwa jina moja la white pamja na
majeruhi ambao idadi yake haikupatikana mapema
Majeruhi wa ajari hiyo walikimbizwa katika hospitali ya
Rufaa mbeya pamoja na mwili wa marehemu
 |
BASI LA ABOOD LILILOPATA AJARI LENYE NAMBA ZA T 5455 AZE |
 |
MWILI WA KONDAKTA WA ABOOD ALIYEJULIKANA KWA JINA LA WHYTE WAKIUTOA ENEO LA AJARI |
 |
MWILI WA KONDAKTA WA ABOOD ALIYEJULIKANA KWA JINA LA WHYTEUKIWA UMWEKWA KWENYE KARI KWAAJILI YA KUUPELEKA HOSPITAL |
 |
HIVI NDIVYO LILIVYOGONGWA BASI LA ABOOD KATIKA AJARI HIYO |
 |
HILI NDILO ROLI LILILOSABABISHA AJARI NA BASI LA ABOOD AMBAPO LIMEGONGA TELA |
 |
MWILI WA KONDAKTA WA ABOOD ALIYEJULIKANA KWA JINA LA WHYTE BAADA YA KUNASULIWA KATIKA MABATI YA GARI LA ABOOD |
 |
ASIKARI WA USALAMA BARABARANI WAKIWAJIBIKA KATIKA AJARI YA ROLI LA MIZIGO JA BASI LA ABOOD |
0 comments:
Post a Comment