Wananchi hao waliamua kufunga barabara kuu itokayo mbeya kuelekae Dar es salam kwa mawe na magogo ya miti kwa muda wa masaa manne nakusababisha usumbufu kwa wasafiri wengene walikua wakitumia barabara hiyo.
Wananchi hao walikuwa na madai ya kutaka serikali iweke matuta ili kupunguza ajari zinazoendelea kutokea kila siku na kusababisha maafa kwa watoto wanaovuka kuelekea shuleni hapo.
Mkuu wa wilaya ya mbeya NOMAN SIGGALA amewaomba waondoe vizuizi hivyo ili kupisha adha kwa wasafiri wengine na kuahidi kuweka matuta haraka iwezekanavyo na kupunguza mwendo kasi.
Baadhi ya wanachi walikubari ombi la mkuu wa wilaya kwa masharti ya kurudia kufunga barabara hiyo iwapo ahadi hiyo haitatekeleza kwa wakati muafaka.
MKUU WA WILAYA NOMAN SIGGALA AKIONGEA NA WAKAZI WA ITEWE MBEYA VIJIJINI
MAGOGO NA MAWE WALIYOTUMIA KUFUNGA BARABARA ITOKAYO MBEYA KUELEKEA IRINGA
MSURURU WA MAGARI YALIYOZUILIWA KUPITA KATIKA BARABARA HIYO
HII NDIYO SHULE YA MSINGI YA IMEZU WILAYA YA MBEYA WALIYOKUWA WAKISOMA WATOTO WALIGONGWA NA KUFARIKI
BAADA YA MKUU WA WILAYA MBEYA NOMAN SIGGALA KUONGEA NAO WANANCHI HAO WALIAMUA KUONDOA VIZUIZI HIVYO
![]() | |
BAADA YA KUONDOLEWA VIZUIZI HALI YA BARABARA ILIENDELEA KUWA YA KAWAIDA NA KURUHUSU MAGARI KUENDEA NA SAFARI |
BASI LA ABOOD LILIPATA AJARI NA KUMUA KONDAKTA WAKE NALO LILIKUWEPO KATIKA KUZUILIWA LAKINI SASA LIMMENDELEA NA SAFARI
0 comments:
Post a Comment