Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 8, 2012

TATIZO LA MAFUTA JIJINI MBEYA BADO NA KIZUNGUMKUTI





HII NDIU HALIHALISI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MAFUTA CHA BP KILICHOPO UHINDINI JIJINI MBEYA
MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA BP MANJI KILICHOPO KATIKATI YA JIJI LA MBEYA AKIPIGA PICHA FOLENI ZA WATU NA MAGARI YALIYOKUWA YAKISUBILI KUJAZA MAFUTA

BAADHI YA MADEREVA WA BODABODA WALILAZIMIKA KUJAZA MAFUTA KATIKA PIKIPIKI ZAO KISHA KUTOA NA KUJAZA KATIKA MADUMU KAMA WALIVYOKUTWA NA MPIGA PICHA WETU

0 comments:

Post a Comment