Mbunge
wa Jimbo la Vunjo akisalimiana na mmoja wa waathirika wa mvua kubwa
iliyonyesha hivi karibuni na kusababisha kufusi kilichokuwa kando ya
nyumba yake kuporomoka na kuhatarisha maisha yake katika kijiji cha Iwa
,Kirua Vunjo katika wilaya ya Moshi.
Mbunge
wa jimbo la Vunjo James Mbatia akizungumza jambo mara baada ya
kutembelea familia ambazo nyumba zao zimeathirika na mvua zilizonyesha
hivi karibuni baada ya kuangukiwa na vifusi na kunusulika vifo.
Mbunge wa jimbo la Vunjo akitizama zoezi la uondoaji wa Vifusi vilivyo poromoka kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha.
Sehemu ya Kifusi kilichoporomoka kando ya nyumba.
Mkazi
wa kijiji cha Iwa ambaye nyumba yake iliathirika na maporomoko ya
udongo yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha akimuonesha maeneo
yaliyoathirika kuzunguka nyumba hiyo.
Mbunge
wa jimbo la Vunjo James Mbatia akitiama sehemu ya nyuma ya nyumba hiyo
ambapo pia udongo umeporomoka na kuhatarisha uwepo wa nyumba hiyo katka
kijiji ch Iwa wilaya ya Moshi vijijini.
Sehemu ya Udongo ulioporomoka.
Mh akitizama nyumba nyingine iliyoathirika na maporomoko hayo ya udongo yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Mbunge
wa Jimbo la Vunjo ,James Mbatia akizungumza na mmoja wa wananchi katika
kijiji cha Iwa ,Kirua Vunjo katika wilaya ya Moshi ambaye nyumba yake
imeathirika baada ya kuangukiwa na kifusi baada ya kuporomoka.
Mh
Mbatia akitoka katika nyumba iliyoathirika na udongo ulioporomoka huku
akishauri familia hizo mbili kuhama kwa muda katika nyumba zao hizo hadi
pale mvua zitakapo malizika kunyesha .
Mbunge
wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akisalimiana na wanafunzi wakati
akipita kando ya barabara iliyoathirika na maporomoko ya udongo kutokana
na mvua zinazoendelea kunyesha.
Mbunge
Mbatia akisaidia kumbebesha udongo mmoja wa vijana waliokuwa wakijaribu
kurekebisha sehemu ya barabara iliyoathirika na mvua zinazoendele
kunyesha.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaksazini.
0 comments:
Post a Comment