MSAFARA NA MAGARI YALIYO CHUKUA MWILI WA MAREHEMU MCH, CHILALE
MKE WA MAREHEMU MCHUNGAJI CHILALE KATIKATI AKISAIDI KUINGIA KANISANI
NDUGU JAMAA MARAFIKI WAKIINGIA KATIKA KANISA ILI KUANZA IBAADA
MSAFARA WA WACHUNGAJI UKIONGOZA JENEZA KUINGIA KANISANI UKIONGOZWA NA DR, CLEMENT FUMBO TOKA JIMBO LA MASHARIKI
JENEZA LENYE MWILI WA MCH, CHILALE IKIINGIZWA NDANI YA KANISA LA MORAVIANI USHIRILA KWA BETHEREHEMU
0 comments:
Post a Comment