MWENYEKITI WA WILAYA YA WILAYA YA MBEYA UNOSYE SWILA AKIHUBIRI
BAADHI YA WACHUNGAJI WALIOHUDHURIA IBAADA YA MAZISHI
KWAYA IKIIMBA KATIKA IBAADA YA MAZISHI
HABARI
Mwekiti wa Kanisa la Moraviani wilaya ya Mbeya mjini Unosye Swila amesema ng`mbo ya dunia hii yaani mbingu hakuna mahakama wala kuumizwa hayo yote yapo hapa duniani,
Ameyasema hayo katika ibaada ya mazishi ya aliekua mchungaji wa kanisa la moraviani ushirika wa Betherehemu Edward Chilale.
"Napenda kuwaambia wote mlio hudhuria na kuguswa na msiba huu maumivu mliyo nayo juu ya kuondokewa na mpendwa wetu ni ya hapa duniani, Ng`ambo ile hakuna mahakama wala maumivu hayo yote yanakoma hapa" amesema Swila
Ameongeza kua shetani anapenda kuwaumiza wanadamu kwakua anahila sana lakini Bwana wetu Yesu Kristo alikuja ili akukomboe na kukuletea amani ya kukupoza maumivu.
MWISHO
0 comments:
Post a Comment