Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman mara
baada ya tukio la uapisho.
.............
Viongozi wengine
walioshuhudia tukio hilo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa
na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Wakati huo huo,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo mchana
ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa Baraza la Mawaziri, uliopo Ofisi ya Rais TAMISEMI Mjini Dodoma.
PICHA NA IKULU
|
0 comments:
Post a Comment