Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya
Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan baada yamazungumzo yao
ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016. Wengine pichani
kutoka kushoto ni Al - Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel
Lugallo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
0 comments:
Post a Comment