KATIKA MSIMU HUU WA MAVUNO KIANGAZI TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA UTAIPENDA KWA KUSHEREHEKEA NGOMA ZA ASILI YA KABILA LA WANYAKYUSA
MKUSANYIKO WA WAKAZI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA WAKISHUHUDIA NGOMA ZA ASILI KWA WANYAKYUSA IKIWA NI KUSHEREKEA MAVUNO YA MWAKA |
NGOMA ZA ASILI ZA KABILA LA WANYAKYUSA MAARUFU KAMA LING"OMA |
WAKAZI WA TUKUYU NA VITONGOJI VYAKE WAKISHUHUDIA NGOMA ZA ASILI |
MZUKA ULIPANDA KWA MASHABIKI NA KUMNYANYUA MPIGA NGOMA CHEZEA WANYAKYUSA WEWE |
BURUDANI TOSHA SANA KWA STAIL ZA KUCHEZA NA JINSI YA KUPIGA NGOMA |
ITAGATA WAINGIE.... BADO KUBABA KWANI MANI MWATUKWANYIA NYIEEEE |
NGOMA ILIYOCHEZWA NA VIJANA CHINI YA UMLI WA MIAKA 25 ILIKUWA KIVUTIO KIKUBWA SANA KATI YA NGOMA 5 ZILIZOKUWEPO HAPO |
WAZUNGU WAKABORESHA IKAWA TARUMBETA WANYAKYUSA WANATUMIA TARUMBETA ZA ASILI |
KABLA YA NGOMA KUINGIA KUCHEZA WAZEE WANATANGULIA NA KUANGALLIA MAZINGIRA KWANZA |
PAMOJA NA SUTI USIONE ANAIGIZA MZEE HUYU YUPO KAZIN NA KWA ASILI YA NGOMA HIZI BILA YA WAZEE KAMA HUYU MAMBO HAYAENDI KABISA |
KABASELE AKIPATA DAWA YA BABAHUKU AKISHEREKEA |
BAADA YA KUPATA VILOBA VYA KUTOSHA GALI LIKAZIMA HAPO HAKUNA MAELEWANO HATA KUNYANYUKA ALISHINDWA |
KIT HAPO NDIO PENYEWE KWA WANYAKUSA |
WATU WALITULIA NA KUPATA BARIDI MOTO KUHU WAKIBADILISHANA MAWAZO |
MZEE MWAIKELA AKICHANGAMSHA AKILI KWA VILOBA |
SHUGHURI NZIMA YA BURUDANI IKIONGOZWA NA MC KABIGI |
HAFLA HII YA NGOMA ZA ASILI ILIANDALIWA NA UONGOZI WA KIVANGA TUKUYU MJINI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA |
0 comments:
Post a Comment