TIMU YA WANANCHI VETELAN WAKIPASHA KABLA YA KUANZA MCHUANO BAINA YAO NA TIMU YA ACCSES BENKI
TIMU YA ACCSES BANKI WAKIJIANDAA KUMENYANA NA TIMU YA VETERAN
VETERANI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
KIKOSI CHA ACCSES BENK KATIKA PICHA YA PAMOJA
MGENI RASMI WA MECHI HIYO KAIMU MKURUGENZI WA BENKI KUU TAWI LA MBEYA IBRAHIM MALOGOI AKIKAGUA TIMU ZOTE MBILI KABLA YA MCHUANO KUANZA
IBRAHIM MALOGOI AKITOA NASAHA ZAKE ZA UFUNGUZI KWA TIMU ZOTE MBILI KABLA YA KUANZA MASHINDANO
MTANANGE UKIENDELEA KILA TIMU IKIKOMAA KUTAFUTA NAFASI YA KUSHINDA
0 comments:
Post a Comment