Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 5, 2016

Benki kuu yaadhimisha miaka 50 ikishiriki michezo katika bonanza lililofanyika katika uwanja wa Sokoine Mbeya

                      TIMU YA NETBALL YA POLISI KATIKA PICHA YA PAMOJA
                   TIMU YA NETBALL YA ACCSES BENKI KATIKA PICHA YA PAMOJA

                         TIMU ZOTE MBILI ZIKIPASHA KABLA YA MCHUANO




MGENI RASMI WA MECHI HIYO KAIMU MKURUGENZI WA BENKI KUU TAWI LA MBEYA IBRAHIM MALOGOI AKIKAGUA TIMU ZOTE MBILI KABLA YA MCHUANO KUANZA

IBRAHIM MALOGOI AKITOA NASAHA ZAKE ZA UFUNGUZI KWA TIMU ZOTE MBILI KABLA YA KUANZA MASHINDANO





                                                      MPAMBANO UKIENDELEA

0 comments:

Post a Comment