Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo katika
mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa
Wilaya ya Dimani CCM kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa
ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi
mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanachama cha
Mapinduzi wa Wilaya ya Dimani leo wakati alipowasilli katika viwanja vya
CCM Mkoa Amani wakati alipohudhuria katika mkutano wa
Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya
Dimani CCM uliofanyika leo kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa
ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi
mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi wa CCM
wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa
Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,
kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika
Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,(kulia) Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.

0 comments:
Post a Comment