Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizindua Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka
Mitano 2016/17-2020/21 kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mkoani Dodoma
leo, Anayeshuhudia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mapango.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango kitabu cha mpango huo.
Mawaziri wakifurahi baada ya mpango huo kuzinduliwa.
Waziri Mkuu, Majaliwa akimkabidhi mpango huo, Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson.
Waziri Mkuu,
Majaliwa akimkabidhi mpsngo huo Mbunge wa Jimbo la Korogwe kwa niaba ya
Kiongozi Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe ambaye hakuwepo
katika sherehe hiyo.
Waziri Mkuu, Majaliwa akiwa na viongozi wote waliokabidhiwa mpango huo.
Baadhi ya wazee na viongozi wa dini wakishiriki katika sherehe hizo.
Philip
Mpango akijadiliana jambo na Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako
pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustino Mahiga akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Profesa Jumanne Maghembe na Balozi Mahiga wakifurahia jambo.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola akizungumza na Mahiga.
0 comments:
Post a Comment