Pages

Ads 468x60px

Monday, June 20, 2016

Mwenyekiti wa CCM, Dkt JAKAYA KIKWETE aongoza Kikao cha Kamati Kuu

 Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 26. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM , Abdulrahman Kinana. 
Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi  wakifuatilia kikao cha Kamati  Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwenye Ofisi ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016.
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati alipofungua kikao chao kwenye Ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016.

0 comments:

Post a Comment