Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati
wa zoezi la maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF, ambapo zoezi hilo limeanza katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.
(Na Mpigapicha Wetu)

Ofisa
Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amani Marcel
(kushoto), akimkabidhi zawadi ya fulana mwanachama mpya wa NSSF wakati
wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma
mbalimbali za NSSF katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanachama wa NSSF jijini Mwanza.

0 comments:
Post a Comment