Waziri MWIGULU NCHEMBA apokelewa na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mh. Mwigulu Nchemba(Kushoto), akikaribishwa Makao Makao ya
Wizara hiyo na Katibu Mkuu Meja Jenerali Projest Rwegasira, Katikati ni Naibu
Waziri wa Wizara hiyo Mhandisi Hamad Masauni na wa kwanza kulia ni Naibu Katibu
Mkuu Balozi Yahya Simba.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia
ya Mawasiliano, Jane Massawe, mara baada ya kupokelewa Makao Makuu ya Wizara
hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiweka saini mara baada ya
kuwasili Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi muda mfupi baada ya
kuapishwa kwake. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest
Rwegasira na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Yahya Simba.
0 comments:
Post a Comment