Waziri wa
Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) akipokea hundi ya mfano
yenye thamani ya sh. bilioni 4.5 za gawio la serikali kutoka Mwenyekiti
wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi
katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Hazina, Dodoma jana.
Puma ni wabia
wa Serikali kuendesha biashara ya mafuta nchini.Wa pili kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Philippe Corsaletti, Wa pili
Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani na
Msajiri wa Hazina, Lowrence Mafuru.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) akipokea hundi ya mfano
yenye thamani ya sh. bilioni 4.5 za gawio la serikali kutoka Mwenyekiti
wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi
katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Hazina, Dodoma jana.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) akipokea hundi yenye
thamani ya sh. bilioni 4.5 za gawio la serikali kutoka Mwenyekiti wa
Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi katika
hafla iliyofanyika Ofisi ya Hazina, Dodoma jana.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi (wa
tatu kushoto) akielezea jinsi kampuni hiyo inavyopoteza mapato kutokana
na wizi wa mafuta yao banadarini.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) akinukuu kinachozungumzwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Puma.
Sehemu ya wanahabari wakifanya coverage tukio hilo...
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi
akifafanua jambo alipokuwa akielezea jinsi Puma kwa upande wa Tanzania
ilivyofanya vizuri na kupatiwa tuzo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani.(kulia) akisikiliza kwa makini wakati Dk Moshi akielezea mafanikio.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akipiga makofi kufurahishwa Serikali kupatiwa gawio hilo.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani. (kulia) akizungumza
wakati wa hafla hiyo ambapo alizitaka hata kampuni na mashirika yenye
ubia na serikali yahakikishe nao yanatoa gawio ama faida kwa serikali.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi
akimtafasiria kwa kiingereza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo,
Philippe Corsaletti, yaliyokuwa yakizungumza na Wairi, Dk Mpango.
0 comments:
Post a Comment