Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Simon Mwakifwamba akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu. |
Mjumbe wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Wiliam .J. Mtitu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu. |
0 comments:
Post a Comment