Kamishna wa Maadili Kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi
wa Umma Mhe.
Jaji
(Mst.) Salome Kaganda akiongea akiongea na wakurugenzi wa Halmashauri za
Majiji, Manispaa,Miji na Wilaya walioteuliwa hivi karibuni
na kusisitiza kuzingatia maadili katika kipindi chao cha uongozi wakati
wa hafla ya uapishwa wa kiapo cha Ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma
kwa wakurugenzi hao.Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
|
Picha na Hassan Silayo
0 comments:
Post a Comment