Wananchi
wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 359 DFQ iliyodaiwa
kuacha njia na kuparamia daladala namba T 797 DEW eneo la Buza Njia
Panda ya Kitunda jijini Dar es Salaam leo jioni. Katika ajali hiyo watu
wawili waliokuwa kwenye Noah hiyo waliotajwa kuwa ni Askari wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (JWTZ), walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Temeke
kwa matibabu.
Noah hiyo ikiwa kwenye mtaro baada ya kutokea ajali hiyo.
Daladala lililogongana na Noah hiyo likiwa eneo la tukio.
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment