Shule za Msingi katika Manispaa ya TEMEKE zaanza Kupokea Madawati
Mkuu
wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akikabidhi Dawati kwa Mwakilishi
wa Shule ya Msingi ya Mtoni kama Ishara ya kuanza Kupokea Madawati
ndani ya Manispaa ya Temeke, ambapo Madawati mengine 50 yatatolewa na
Kampuni ya African.
Mkuu
wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akipeana Mkono na Mwanafunzi wa
Shule ya Msingi ya Mtoni, mara Baada ya kukabidhi Madawati 200 kwenye
Shule hiyo, ambapo Madawati mengine 50 yatatolewa na Kampuni ya
African.
Mkuu
wa Wilaya ya TEMEKE, Bi Sophia Mjema akiwa ameketi kwenye Dawati akiwa
pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mtoni, Baada ya
Kukamilisha Zoezi la Kukabidhi Madawati 200 kwenye Shule hiyo ikiwa ni
Ishara ya Kuanza kupokea Madawati ndani ya Manispaa Hiyo.
0 comments:
Post a Comment