Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula(mwenye shati jeupe) akizindua Kitabu
chenye jina la “Majipu ya Nchi Yetu” Tushirikiane kuyatumbua leo jijini Dar es
Salaam.Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na Midahalo (KVM)
Bi. Deborah Charles, Agusto Matefu, Mwenyekiti wa Kamati ya Mijadala na
Kongamano ambaye pia ni Mwandishi wa kitabu hicho Amos Siyantemi na wa mwisho
kushoto ni Mratibu wa Taifa wa Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini (KVM)
Bw. Daniel Zenda. Kampeni hiyo inalengo
la kumuunga mkono na kumsaidia Rais Magufuli katika jitihada zake za kupambana
na rushwa maarufu kama utumbuaji wa majipu.
|
0 comments:
Post a Comment