Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Salum Hapi akipokea hundi ya sh. milioni 19.3,
kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya
miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika
kukabidhi fedha hizo kwa ajili ya mchango wa madawati kaika wilaya ya
Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
(Picha na Bashir Nkoromo) |
0 comments:
Post a Comment