Pages

Ads 468x60px

Friday, June 17, 2016

Profesa MAKAME MBARAWA ateta na Bodi Mpya ya Bandari

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) Prof. Ignas Rubaratuka (wa pili kulia) akijadiliana jambo na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (hawapo pichani) kwa njia ya teknolojia ya video (Video Conference) katika kikao kazi kati ya Waziri na Bodi hiyo, Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu, Sekta ya Uchukuzi Dr. Leonard Chamuriho.
Kikao kazi cha Bodi Mpya ya Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (hawapo pichani), Kikao hicho kimefanyika kwa njia ya teknolojia ya video (Video Conference), Bodi ikiwa jijini Dar es Salaam na Waziri naNaibu wake wakiwa mjini Dodoma.

0 comments:

Post a Comment