xdjay imefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia kujitoa muhanga juu ya gonjwa hatari la ukimwi linalotishia dunia nzima.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za picha hizo kilisema msanii huyo ambae pia ni anaigiza pamoja na kundi la Ze Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha na vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti kupiga nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwa
akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.
Aidha katika hali nyingine msanii huyo aliyetamba sana kwenye filamu ya Love Position, Tikisa na nyinginezo amekuwa akitumia gari yake kufanyia ufusika hadharani....

<< PICHA ZOTE ZIKO HAPO CHINI>>
0 comments:
Post a Comment