MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI YAMEENDELEA LO KATKA UKUMBI WA HOTEL YA MKURU AMBAPO MGENI KATTBU TAWALA MKOA WA MBEYA MARIAM MTUNGUJA AMEYAFUNGUA RASMI KWA KUWAPONGEZA WAANDISHI HAO KWA KUJIONGEZEA UWEZO ZAIDI KWA MAFUNZA WATAKAYOYAPATA
KATIKA HOTUBA HIYO AMEZUNGUMZIA MENGI IKIWEMO WATU KUTOPENDA KUAMBIWA UKWELI KWAKUA MTU HUPENDA KUJIANGALIA MBELE LAKINI NYUMA HAWAWEZI KIJIONA" NATAKA KUSEMA MWANDISHA WA HABARI NI KIOO CHA JAMII HIVYO NI VEMA KUWA NA WAANDISHI WENYE UWEZO NA UWELEWA" AMESEMA MTUNGUJA
PIA AMEWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUAJIRI WAANDI WA HABARI WALIOSOMEA TASINIA HII ILI KUONDONGOKANA MIGONGANO YA INAYO SABABISHWA NA WAANDISHI WASIO NA TAALUMA HII
MWISHO AMETOA WITO WA KUSHILIKIANA VEMA NA WAANDISHI PIA VYOMBO VYA HABARI ATATOA USHILIKIANO WA KUTOSHA KWAO.
MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB CHISTOPHA NYENYEMBE AKIMKARIBISHA MRATIBU WA (UTPC) VICTOR MALEKO AMKARIBISHE MGENI RASMI AZUNGUMZE NA WAANDISHI WA HABARI
MRATIBU WA UMOJA WA CLUB ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA (UTPC) VICTOR MALEKO AKIMUELEZA MACHACHE MGENI RASMI JUU YA MPANGO WA KUWAWEZESHA KITAALUMA WAANDISHI WA HABARI NA KISHA KUMKARIBISHA AZUNGUMZE NAO.
MGENI RASMI MARIAM MTUNGUJA
KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA MARIAM MTUNGUJA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
WAANDISHI WA HABARI WAKISIKILIZA KWA MAKINI
MKUFUNZI AKIMSHUKURU MGENI RASMI KWA HOTUBA YAKE KWA WAANDISHI
PICHA YA PAMOJA YA WAANDISHI WA HABARI WANAOHUDHURIA MAFUNZO HAYO
MGENI RASMI ANAAGANA NA WAANDISHI NA KUONDOKA.
Tuesday, May 15, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment