Mbio za mwenge za zinduliwa leo Tarehe 11/05/2012 mkoani mbeya katka viwanjwa vya kumbukumbu ya SOKOINE na kuhudhuliwa na viongoi mbalimbali wa kitaifa na mgeni rasimi Wiri mkuu MIZENGO KAYANZA PITA PINDA
Waziri mkuu PINDA akiingia uwanja wa kumbukumbu ya SOKOINE MBEYA
Mmoja wa vijana wa chipukizi akivisha PINDA skafu na kofia ishara ya mapokezi uwanjani hapo.
0 comments:
Post a Comment