Pages

Ads 468x60px

Monday, June 4, 2012


TANGAZO

MOD INTERGRATED SOLUTION AND AWARENESS


Ni kampuni inayotoa mafunzo ya ujasiriamali Tanzania sasa wapo MBEYA kwa ajili ya semina ya kukukomboa wewe mkazi wa jiji la MBEYA semina hiyo itaendeshwa kwa muda wa siku tatu ndani kuanzia  tarehe 08-10-2012 katika ukumbi wa kiwila motel Sowet, Ewe mkazi wa jiji la MBEYA ondokana na umasikini wa kujitakia njoo ujifunze jinsi ya kutengeneza keki,sabuni za unga, ahampoo za aina zote, sabuni za maji, sabuni za majivu, sabuni za miche, sabuni za magadi, mishumaa, mafuta ya kupaka, lition, dawa za usafi, wine za aina zote, maji ya bettery, mikate ya aina zote, mango pickle, crips za aina zote,  bila kusahau uyoga, masomo ya biashara, mifugo na vyakula vya kuku, Afya ya binadamu, screen printing kama vile (t-shit,csps), batiki, aina zote, graphics desing (logos, artwork) maziwa ya soya, nyama ya soya, na upambaji wa kumbi za sherehe mbalimbali. Semina itafanyika katika ukumbi wa kiwila motel kuanzia saa 02:00 subuhi na saa 08:00 mchana mafunzo ni nadhalia na vitendo. Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:0715 795 533, 0767 795 533, 0653 023 901 ewe mkazi wa jiji la mbeya usikose fulsa hii ya kujikomboa kiuchumi kujisajili ni tshs 1o,ooo/= kwa kila mtu apendaye kujiajili. Wate mna karibiswa. 



0 comments:

Post a Comment