Waandishi wa
Habari wa Baraka fm Radio wapata mafunzo ya wiki tatu ili kujengewa uwezo wa
kuandaa vipindi vyao. Sana katika mradi wanaotarajia kuanza wa kuandaa vipindi
vya kilimo cha mikunde, ili kurutubisha udongo na kuvirusha katika Radio hiyo.
Mafunzo hayo
yanafadhiliwa na shirika la Faida Mari, Farm Radio International walioko Arusha
na Wizara ya kilimo.
Mradi huu
umeanzishwa kwa malengo ya kujibu matatizo ya wakulima katika kurutubisha
udongo na kuondokana na matumizi ya Mboleo za kisasa, Kubuni na kuandaa vipindi
vitakavyo waelimisha wakulima iliwaweze kujifunza mbinu za kurutubisha udongo,
kusambaza taaifa za kurutubisha udongo pi taarifa ya pembejeo kwa wakulima
mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment