HILI NDILO KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA META LIKIWA LIMEFUNWA MILANGO KWA MAKUFULI MENGINE NAKUSABABISHA KUENDELEA NA IBAADA |
BAADAE WAUMINI WALIOFIKA WALIAMUA KUCHUKUA JUKUMU LA KUVUNJA MLANGO HUKU WAKIIMBA WIMBO WA AMESHINDWA SHETANI
HILI NI MOJA YA MAKUFULI YALIYOTUMIKA KUFUNGA MILANGO YA KANISA HILO
0 comments:
Post a Comment