Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 3, 2012

MH MBUNGE VITI MAARUMU (CCM) MARY MWANJELWA KUSAFILISHWA KWA NDEGE KWENDA DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI


 DEREVA MH.MBUNGE AKIWA ANAINGIZWA NDANI YA NDEGE SASA
 MH. MBUNGE HILDA NGOYE AKIMUAGA DEREVA WA MH.MARY MWANJELWA 
 DR.NZUNDA WA MBELE AKIWA ANAMPELEKA MUHESHIMIWA MBUNGE KUPANDA NDEGE
 MUHESHIMIWA MBUNGE, MARY MWANJELWA AKIWA ANAPANDISHWA KATIKA NDEGE 
 HII NDIO NDEGE AMBAYO MUDA SI MREFU ITARUKA KUELEKEA DAR ES SALAAM 
MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA ABASS KANDORO AKIWA ANAAGANA NA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA 
 MH. MKUU WA WILAYA WA MBEYA AKIWA ANAMUAGA MH MBUNGE
 SHUGHULI YA KUAGA INAENDELEA 
 VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI

PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG

0 comments:

Post a Comment