Pages

Ads 468x60px

Monday, November 26, 2012

LOWASA SI TAJIRI WA FEDHA BALI WATU


WAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa, amesema kuwa hana utajiri wa fedha bali wa watu.

Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, alisema hayo jana katika Kanisa la Moravian Tanzania Usharika wa Ruanda, wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa hosteli ya wanachuo wa kike wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji mkoani Mbeya.

Ambapo yeye alichangia shlilingi milioni ishilini na tano pia zaidi ya shilingi milioni hamsini zilipatikana katika changizo hilo

             LOWASA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE ULIOPO MWNJELWA JIJINI MBEYA
 BABA ASKOFU WA KAINASA LA MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI ALINIKISA CHEYO AKISALIMIANA NA LOWASA MARA BAADA YA KUFIKA UWAJANI
VINGOZI WA KANISA PAMOJIA NA SERIKALI WAKIMPOKEA WAZIRI MSTAAFU LOWASA MARA BAADA YA KUWASILI UWANJANI HAPO
KWAYA YA VIJANA MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR WAKIMSUBIRI MGENI RASMI LOWASA KATIKA UWANJA WA NDEGE MWANJELWA
KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHISPIN MEELA NA LOWASA WAKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA OFISI ZA MCHUNGAJI KATIKA KANISA LA MORAVIANI RWANDA
KULIA NI ASKOFU ALINIKISA CHEYO AKIWAPA KITABU CHA KUSAINI WAGENI OFISINI KWA MCHUNAJI WA USHIRIKA WA RWANDA
PARADISE KWAYA WAKIIMBA WIMBO KUMKARIBISHA LOWASA

KWAYA YA VIJANA NZOVWE OKULI KWAYA WAKIIMABA KATIKA IBAADA YA UCHANGIAJI WA OSTELI
LOWASA AKIMWAMBIA KITU MC CHARLEA MWAKIPESILE KWABRA YA KUWAHUTUBIA WAUMINI KATIKA IBAADA PALE RWANDA
                 BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WALOFIKA KUMSIKILIZA LOWASA
LOWASA AKIWAHUTUBIA WAUMINI KATIKA KANASA LA MORAVIANI RWANDA
                         LOWASA AKIOSALIMIANA NA WATU WA JAMII YA KWAO
 VIONGIOZI WAKIMSINDIKIZA LOWASA ALIPOKUWA AKIONDOKA MARA BAADA YA KUMALIZA IBAADA YA UCHANGIAJI
LOWASA AKIMPONGEZA MC CHARLES MWAKIPESILE KWA KUENDESHA SHUGHURI VIZURI HIYO HARAMBEE YA UCHANGIAJI WA HOSTEL

0 comments:

Post a Comment