Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 4, 2012

MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR YAWARUDISHA VIONGOZI WAKE WOTE KUWAONGOZA TENA MIAKA MINNE IJAYO


Kanisa la Moraviani ushirika wa mbeya mjini umekamilisha uchaguzi wa viongozi wa kuliongoza kanisa hilo kikatiba pamoja na idara zake zote ambapo kwaya ya vijana wa ushirika huo umewarudisha viongozi wake wote wealiokuwa wakiwaongoza msimu uliopita.

Katika uchaguzi huo Aggrey kandonga kachaguliwa tena kuwa mwenyekiti, Elia Mwandima makamu wa mwenyekiti, Yohana Kajenge katibu na John mwambola mtunza hazina

Mchungaji wa kanisa hilo Stefano mwakibibi amewataka kuendeleza ushirikiano na mshikamano wa pamoja ili kuijegana kuleta maendeleo kwa kwaya hiyo kwani vijana ndiyo tegemeo

Aidha mlezi wa kwaya hiyo Medson Msisya amewaomba viongozi waliochaguliwa kuwapenda vijana wote bila kujali waliwachagua au hawakwachagua kwani kila palipo na uchaguzi kuna kuwa na pande mbili  hivyo waondoe tofauti na kuifanya kazi ya mugu kwa umoja.
 MCHUNGAJI S MWAKIBIBI AKISOMA KATIBA YA KANISA LA MORAVIANI KABRA YA KUANZA UCHAGUZI HUO
 MLEZI WA KWAYA HIYO MEDSON MSISYA AKIFAFANUA JAMBO KABRA YA UCHAGUZI
KATIBU WA VIJANA YOHANA KAJANGE AKIOMBA UFAFANUZI SAHIHI KABLA YA UCHAGUZI

BAADA YA UCHAGUZI VIJANA WAKIMPONGEZA MAKAMU WA MWENYEKITI  ELIA MWANDIMA BAADA YA KUSHINDA KWA NIABA YA WENZAKE
MCHUNGAJI AKITOA NASAHA KWA KIONGOZI ALIYEKUWEPO KWA NIABA YA WENGINE MARA BAADA YA KUCHAGULIWA

0 comments:

Post a Comment