AMESEMA HAYO
KATIKA SHEREHE ZA POLISI FAMILY ZILIZOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA FFU MWISHONI
MWA WIKI HII
Katika sherehe
hizo ambazo hufanyika kila mwaka kandoro alikabidhi vyeti na zawadi ya pesa kwa
wafanyakazi bora wapatao ishilini na mmoja
Lakini pia
alikabidhi pikipiki ishilini na moja kwa tarafa za mbeya ili kurahisha kumbana
na uharifu mkoani hapa
Kabla ya kukabidhi zawadi hizo Kandoro
amewataka askali polisi kujipeleleza mwenendo wao na kurudisha imani kwa
wananchi ambao ipo mashakani kutowea katokana na baadhi yao kutokuwa waaminifu
kwa kupenda rushwa
Pia amewapongeza
viongozi wa dini mbalimbali kwa mshikamano wao na serikali katika jitihada za
kuhakikisha mkoa wetu unabaki kuwa na amani siku zote.
Lakini pia
amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani hiyo ili kuwavutia wawekezaji ili
kuondokana na tatizo la ajira kwa vijana, Kuheshimu sheria bila shuruti na kuacha
vitendo vya kujichukulia sheria mkonono kama vile kuzika watu wakiwa hai.
Kwa upande
wake Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani amewataka polisi kuongeza
mshikamano ili kutokomeza kabisa uharifu uliopo kwani mkoa umekuwa na sifa
mbaya kama vilie upigaji nondo na uchunaji watu ngozi.
0 comments:
Post a Comment